Additionally, paste this code immediately after the opening tag:

SMS Moto za Mapenzi ❤

SMS za Mahaba, Upendo na Love. Jumbe za Mapenzi. Mahaba na Mapenzi. SMS za Upendo na Mahaba. ...

Free

Store review

SMS za Mahaba, Upendo na Love.

Jumbe za Mapenzi.

Mahaba na Mapenzi.

SMS za Upendo na Mahaba.


App hii ni ya kukuwezesha kutuma SMS za Love ama Upendo kwa mpenzi wako. Ukitaka mpenzi wako ajue kwamba unampenda, App hii ni ya maana sana kwako na uta furahia sana utunzi wa App hii.

Kwa ufupi, App hii itakusaidia kuzidisha mapenzi, Love, Romance, Uhuba, Upendo, Urafiki n ahata kufanya mpenzi wako akupende sana kuliko zamani.

Watakao tumia App hii:

- Wapendanao;
- Wasichana;
- Wavulana;
- Wana familia;
- Wazazi;
- Love birds;
- Watu ambao wako na uhusiano wa ndani sana.

Yaliyomo:

- Jumbe za mahaba;
- SMS za upendo;
- SMS ya mapenzi;
- SMS za msichana;
- SMS za uhusiano;
- SMS za kubembeleza;
- Message za mapenzi;
- SMS za usiku;
- SMS za kuudhi;
- SMS za usiku mwemwa;
- SMS za urafiki;
- SMS kwa umpendae.

App hii inaweza tumika wapi?

- App hii ina weza tumika Kenya;
- App hii ina weza tumika Tanzania;
- App hii ina weza tumika Uganda;
- App hii ina weza tumika Burundi;
- App hii ina weza tumika Congo;
- App hii ina weza tumika Uingereza;
- App hii ina weza tumika Afrika nzima, na kadhalika.

Download App hii kwa kupata meseji kali za kusisimua za kimahaba
Utaweza fanya nini na App hii?

- Tuma SMS za mahaba ama Love kwa mpenzi wako;
- Share App;
- Rate

Short English version

This App is for people who are in Love and you want to make sure that you make your relationship work.

With this App you will get:

- Swahili Love text messages;
- Romantic Messages;
- Sweet Love SMS;
- Love SMS for Girls;
- Love SMS for her at night etc.

Download this App, Rate and Share.

Last update

Nov. 20, 2019

Read more