Additionally, paste this code immediately after the opening tag:

Tanzania Tech : Kwa Habari za Teknolojia

Tanzania Tech ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha h...

Free

Store review

Tanzania Tech ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Tanzania Tech inasaidia jamii kuelewa kwa undani kuhusu Teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Bado tunaendela kuboresha programu yetu pamoja na kuongeza vipengele vipya ili kuhakikisha kuwa hupitwi na Habari yoyote ya Teknolojia. Unaweza kujiunga kwenye mijadala mbalimbali ya teknolojia kupitia tovuti yetu bofya hapa Tanzania Tech .

Last update

Dec. 11, 2019

Read more