Additionally, paste this code immediately after the opening tag:

Swahili Bible Audio offline app

Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana...

Free

Store review

Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana na lugha ya Kigiriki ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya "vitabu" ikiwa ni wingi wa βιβλος (biblos). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.

Hivyo Biblia ni tofauti na vitabu vingine kwa sababu iliandikwa na watu mbalimbali ambao hawakuwa pamoja wala hawakuandika kwa wakati mmoja, lakini vitabu vyote vimekusanywa na kuunda kitabu kimoja cha Biblia. Inasadikiwa na Wayahudi na Wakristo kwamba "Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa uwezo wa Mungu".

Kuchagua kitabu kusikiliza:

AGANO LA KALE
AGANO JIPYA

Last update

Nov. 5, 2019

Read more